TIMU ya Jeshi Star ya mchezo wa kikapu imejigamba kutetea ubingwa wa mashindano hayo kwenye fainali za klabu bingwa mkoa wa Dar es Salaam zinazotarajiwa kuanza wiki ijayo.
zaidi ya miaka 6 iliyopita
KOCHA wa Simba, Zidravko Logarusic amesema ana matumaini kikosi chake cha msimu ujao kitafanya vizuri kutokana na usajili uliofanywa kwa umakini mkubwa.
BENKI ya Posta Tanzania (TPB) imeidhamini klabu ya Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa SC), kufuatia juhudi zake za kuhamasisha na kuendeleza michezo nchini.
TIMU ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 19 ya kriketi imesema inatarajia kufanya vizuri kwenye michuano ya Afrika maarufu kama ‘Africa Division’ itakayofanyika nchini Zambia.
WADAU wa masuala ya sanaa za vichekesho wameviomba vituo mbalimbali vya radio kujikita katika kusaidia sanaa za vichekesho hapa nchini.
KILIMANJARO Premium Lager, ambao ni wadhamini wa timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars wamewataka Watanzania kutokata tamaa kutokana na Tanzania kushindwa kufuzu hatua ya makundi ya kusaka tiketi ya kucheza fainali za Mataifa ya Afrika 2015 Morocco.
MKOA wa Morogoro umetangaza majina 16 ya wachezaji watakaoshiriki kwenye fainali za mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars jijini Dar es Salaam.
CHAMA cha Mpira wa Mikono Zanzibar (ZAHA), kimesema kinahitaji zaidi ya Sh milioni mbili ili kuiweka kambi timu yao ya Taifa ya wanawake inayojiandaa na michuano ya Kanda ya Tano ya Afrika Mashariki na Kati itakayofanyika Uganda Agosti 15, mwaka huu.
TIMU ya Azam FC imeondoka jana jioni kwenda Kigali, Rwanda kushiriki michuano ya Kombe la Kagame inayoandaliwa na Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA).
KLABU ya Simba imenasa mastraika wengine wawili kutoka Botswana na Gambia watakaochuana na Mkenya Paul Kiongera kujaza nafasi iliyobaki ya mchezaji mmoja wa kigeni msimu ujao.