Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (wa pili kulia) akizungumza na watendaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati wa ziara ya mawaziri wanne katika uwanja huo Dar es Salaam jana. Kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ya na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Susan Kolimba, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangala, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), Richard Mayongela (kushoto). (Picha na Fadhili Akida).