TANGU Bunge hili Maalumu la kutuandalia mwongozo na dira ya maisha sisi Watanganyika na Wazanzibari lianze, kila ninaposogeza sikio redioni na macho televishenini ninachosikia na kuona ni posho, posho, posho, hakuna kusikia wala kuona mjadala wa Katiba mpya wala Rasimu yake! Kulikoni?