NAMBIE mtu wangu, habari zako binafsi ‘bana’, bila shaka upo ‘njema’, na unaendelea na pilika za hapa na pale kukabiliana na changamoto za maisha.
zaidi ya miaka 6 iliyopita
WIKI hii jicho lililazimika kuangaza kwenye moja ya zahanati zinazoendeshwa kwa kodi zetu hapa jijini Dar es Salaam.
WAKO watu wengi ambao hawajiamini wala hawaamini kama wanaweza kufanya jambo lolote la maendeleo, kubwa au hata kuwa na ndoto za kufanya hivyo.
NI vituko vya aina yake vilivyofanywa hivi karibuni na huenda vinaendelea kufanywa na binti zetu katika mikoa ya Arusha na Dar es Salaam ambavyo nimeona niwamegee wasomaji wangu wa safu hii.
NAMBIE mtu wangu, mambo vipi, pole kwa changamoto zilizopita mwaka uliopita bila shaka mambo si mabaya. Wape ‘hi’ wadau hapo, nawatakia heri na fanaka katika mwaka huu hasa kwa yale yenye manufaa kwao, familia zao na taifa kwa ujumla.
zaidi ya miaka 9 iliyopita
HI, mambo vipi mtu wangu, sema usikike, kuna jipya week end hii mwanangu? Kinaeleweka au ndiyo hivyo tena life linabana.