HABARI ambazo zimechukua nafasi kubwa wiki mbili zilizopita kwenye vyombo vya habari ni tatizo la dawa na huduma mbovu za tiba kupitia mfuko wa Afya ya Jamii (CHF).
zaidi ya miaka 6 iliyopita
KATIKA gazeti letu la leo tumeandika habari mbalimbali kuhusu mauaji ya kimbari ya Rwanda ambayo maadhimisho yake yalifanyika jana.
MWISHONI mwa wiki hii Bunge Maalumu la Katiba litaketi kujadili kwa uwazi mambo ambayo yaliafikiwa au kutoafikiwa katika kamati zake zilizokaa kupitia sura mbili za rasimu ya Katiba, zenye maudhui muhimu kuhusu Muungano.
MVUA za masika zinaendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo ya Pwani. Mvua hizo zimeleta neema kubwa kwa wakulima mikoani, kwani wanazitumia kupanda na kulima mazao mbalimbali.
MAJI ni bidhaa muhimu yenye matumizi mengi kwa binadamu.
MWISHONI mwa wiki iliyopita, Tanzania iliandika historia katika soka baada ya timu ya Watoto wa Mitaani kutwaa Kombe la Dunia la soka kwa vijana hao mjini Rio de Janeiro, Brazil.
SIKU tatu zilizopita mvua zimeleta taharuki, shida na mateso katika mikoa ya pwani. Kwa mfano, katika Kata ya Mafisa Manispaa ya Morogoro, nyumba 200 zilizingirwa maji na nyingine kubomoka.
KAULI ya Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete aliyoitoa wakati wa uzinduzi wa uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi katika wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, inatoa changamoto kubwa kwa wananchi.
JANA katika gazeti hili tuliandika tatizo la kukosekana kwa moyo wa kujitolea kwa baadhi ya vijana.
HAKUNA ubishi kwamba hali ya mvua za mwaka huu siyo ya kawaida kutokana na maafa ambayo tunaendelea kuyashuhudia kila kukicha mijini na vijijini. Maeneo ambayo maafa hayo yameonekana kiasi kikubwa ni pamoja na mikoa ya Morogoro na Dar es Salaam.