NINA hakika wengi tumeshawahi kusikia msemo maarufu, usemao ''Elimu ni ufunguo wa maisha.''
zaidi ya miaka 6 iliyopita
HAKUNA faraja kubwa ambayo wapenda maendeleo wameipata kama kauli ya Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, wakati akifungua rasmi mkutano mkuu wa 30 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa nchini (ALAT) wa kutimua viongozi wa halmashauri ambao wanakwamisha shughuli za maendeleo.
KATIKA gazeti letu la juzi, kulikuwa habari iliyomhusu Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, ambaye yupo katika ziara ya siku tisa mkoani Tabora, kukagua uhai wa CCM.
TANZANIA ni miongoni mwa nchi zilizobarikiwa kuwa na mali za asili, ambazo ni vivutio kwa watu wa ndani na nje ya mipaka yake.
KATIKA gazeti letu la leo tumeandika kwa bashasha kubwa mafanikio yaliyopatikana ya kuongeza ubora wa mafuta yanayotumika kwa wingi kuendesha mitambo ya petroli na dizeli.
KATIKA gazeti hili la leo, kuna taarifa iliyotolewa na uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) ya kurejesha usafiri wa treni ya abiria ya Reli ya Kati kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa ya Mwanza na Kigoma.
MIONGONI mwa habari zilizotikisa vyombo mbalimbali vya habari nchini kwa siku mbili zilizopita ni ile ya mtoto wa miaka minne, kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu kwa kufungiwa ndani ya boksi kama mnyama, kwa kile kilichodaiwa kuwa ili asimuambukize mama mlezi virusi vinavyosababisha Ukimwi.
MICHUANO ya Nile Basin inayoandaliwa na Baraza la vyama vya soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) imeanza jana mjini Khartoum Sudan.
MOJA ya habari kubwa katika vyombo vya habari jana ni kuhusiana na kuibuka kwa kasi kwa makundi hatari ya kihalifu katika kona mbalimbali za Jiji la Dar es Salaam.
PASI shaka wananchi wa Dar es Salaam wanausubiri Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa bashasha kubwa, wakiamini kwamba mradi huo unaweza kuwa moja ya suluhu ya wao kuwahi katika shughuli zao.