PAMOJA na viongozi wengi wa serikali kufanya kazi kama ambavyo ...
miezi 7 yaliyopita
miezi 9 yaliyopita Mwandishi Wetu
MSIMU wa sikukuu za mwisho wa mwaka umewadia. Siku ...
miezi 12 yaliyopita
UAMUZI wa serikali wa kuwasamehe wafanyabiashara na walipakodi riba na ...
mwaka 1 uliopita
Wakati nchi za Afrika zikiendelea na juhudi za kuanzisha eneo ...
WILAYA ya Moshi mkoani Kilimanjaro imekumbwa na ugonjwa wa kichaa cha mbwa ambapo kumekuwa na matukio mbalimbali yaliyotokea kuanzia Juni mwaka jana. Katika matukio hayo, vifo vya watu kadhaa vilivyoripotiwa baadhi ya wagonjwa wakiwa katika hali mbaya huku wanyama, mifugo kama ng’ombe iking’atwa na mbwa wenye kichaa.
JUWATA Jazz Band (sasa inaitwa Msondo Music band) katika wimbo ‘Nidhamu ya Kazi’ inasema: “Nidhamu ya kazi ni msingi wa mafanikio mema kazini, viongozi na wafanyakazi lazima wote tuwe na nidhamu. Migogoro na migongano ni ukosefu wa nidhani.
MMOMONYOKO wa maadili miongoni mwa Watanzania wengi ni jambo linalokua siku hadi siku hapa nchini huku mporomoko huo ukionekana zaidi katika kundi la vijana, licha ya kwamba hata makundi mengine kama vile watu wazima yakikumbwa na hali hiyo.
UGONJWA wa tezi dume ni kati ya magonjwa yasiyoambukiza ambayo huwapata wanaume wengi lakini hayazungumziwi kwa uwazi. Wataalamu wanaeleza tezi dume ni sehemu mojawapo ya mfumo wa uzazi wa kiume na kazi yake ni kutoa majimaji yanayochanganyika na mbegu za kiume.
HIVI sasa serikali inaokoa gharama za kuwapeleka wagonjwa nje ya nchi kwa magonjwa yale ambayo yalionekana ni magumu kutibiwa hapa nchini, baada ya kuboresha huduma katika hospitali za Taifa Muhimbili (MNH), pamoja na ile ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma.