WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amezindua jarida la kimataifa la FIRST ambalo limesheheni taarifa za kuitangaza Tanzania kwa wadau wa nchi mbalimbali duniani huku likielezea hatua mbalimbali za ustawi kwa miaka 50 tangu nchi ipate Uhuru.
zaidi ya miaka 6 iliyopita
BENKI ya Akiba (ACB) imeanzisha kitengo cha huduma kwa wateja kwa ajili ya kutoa maelezo na msaada kwa wateja wa huduma ya ACB Mobile na ATM.
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewasili nchini Poland kwa ziara ya siku mbili ya kiserikali, ambayo inalenga kuwavutia wafanyabiashara wa Poland kuwekeza Tanzania.
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa anafurahishwa na kiwango cha uwekezaji wa kampuni za China katika uchumi wa Tanzania, ambao hadi mwishoni mwa mwaka jana ulikuwa umefikia miradi 522 yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 2.5.
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kufungua mkutano wa kongamano la uwekezaji ukanda wa Ziwa Tanganyika katika Mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa Novemba mosi mwaka huu.
KAMPUNI ya URSUS ya kutengeneza matrekta ya kutoka Poland, imeonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania na iko tayari kushirikiana na kampuni ya SUMA JKT kutengeneza matrekta hayo.
WAFANYABIASHARA wa Poland wameiomba Serikali ya Tanzania kuangalia uwezekano wa kufungua kituo cha biashara katika bara la Ulaya.
SERIKALI imeanzisha Idara ya Maendeleo ya Viwanda vya Nguo (TDU) ndani ya Wizara ya Viwanda na Biashara. Hatua hiyo inalenga kuwasaidia wawekezaji katika kila hatua ya mchakato wa uwekezaji.
KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) imezindua programu yake ya Safari Lager Wezeshwa kwa msimu wa nne kwa wajasiriamali wadogo watakaojishindia vitendea kazi vyenye thamani ya Sh milioni 220.