WADAU wa sekta binafsi na wengine wa maendeleo nchini wametakiwa kuwekeza kwenye rasilimali watu kwa lengo la kuimarisha ufanisi wa shughuli mbalimbali za maendeleo.
zaidi ya miaka 6 iliyopita
KUTOKANA na maendeleo makubwa ya kiteknolojia, waajiri sasa wanaweza kuanza kutumia huduma ya M-Pesa inayotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, kulipa mishahara na stahiki nyingine wafanyakazi wao wa kudumu na wale wa muda.
SERIKALI imehamasisha sekta binafsi kuwekeza katika usafirishaji na usambazaji wa umeme pamoja na kusaidia katika usambazaji wa gesi asilia, kutimiza malengo ya mpango wa matokeo makubwa sasa katika sekta ya nishati.
TANZANIA inatarajia kujenga kituo kikubwa cha aina yake Afrika cha sekta ya nyuki, kitakachotoa mafunzo juu ya namna bora ya kufuga nyuki kisasa Kituo hicho kinatarajiwa kujengwa mkoani Dodoma kwa msaada wa Kampuni kutoka Marekani.
VIKUNDI vya wanawake wajasiriamali wilayani Mkuranga mkoani Pwani, vimetakiwa kutafuta fursa mbalimbali kwenye masoko ya kimataifa waweze kujikwamua kiuchumi.
MKUU wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Lephy Gembe, amewataka wajasiriamali kutengeneza bidhaa za ngozi zenye viwango na ubora wa juu, ili waingie kwenye ushindani wa masoko ya ndani na nje ya nchi.
SHIRIKA la Ndege la Afrika Kusini (SAA) limesema lina mpango wa kuanzisha usafiri wa moja kwa moja kutoka Johannesburg, Afrika Kusini hadi Mwanza na Mbeya.
SHIRIKISHO la Viwanda vya Misitu Tanzania umeomba Serikali kuangalia upya mfumo wa ugawaji malighafi hasa miti laini kuepuka kuathiri uzalishaji wao.
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imeweka malengo ya kufikia dhana ya utalii kwa wote ifikapo mwaka 2020 kwa kuingiza watalii 500,000.
MAMLAKA mbalimbali ambazo zinawajibika kwa namna moja au nyingine, kuwezesha mizigo mbalimbali inayoingia nchini kutolewa bandarini, zitaunganishwa na mfumo mpya wa kisasa wa kutumia mtandao wa kompyuta wa Tanzania Customer Integrated System (TANCIS) kwa lengo la kuharakisha uondoaji wa mizigo hiyo.