TAHOSSA: 2025 Samia mitano tena
MWANZA: KUELEKEA Uchaguzi Mkuu 2025, Wakuu wa shule zaidi ya 3,500 wametoa msimamo wao wa kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika mbio za Urais.
Akizungumza na HabariLeo, Mweka Hazina wa Umoja huo ambaye pia ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Muhange mkoani Kigoma Mwalimu Zamoyoni Uzale amesema kwa kauli moja wamekubaliana kuchanga fedha zaidi ya Sh milioni 3 za kumlipia fomu ya kugombea Urais awamu ya pili Rais Samia.
“Tumeamua kuvunja rekodi tangu kuumbwa kwa ulimwengu, kwa sisi wakuu wa shule kuamua kuchangisha fedha, kampeni hii inajulikana kama Kapu la Mama, lengo ni kumuunga mkono Rais Samia Suluhu kwa kazi nzuri anayofanya.
pharmacy