Takukuru Iringa yawahoji watia nia CCM

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Iringa imesema imewahoji makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotafuta nafasi za ubunge na udiwani katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo, kufuatia tuhuma za ukiukwaji wa kanuni za chama na matumizi ya fedha kushawishi wapiga kura. Akizungumza na wanahabari leo, Kaimu Mkuu wa TAKUKURU … Continue reading Takukuru Iringa yawahoji watia nia CCM