Tanesco yashinda tuzo huduma bora kwa wateja
SHIRIKA la umeme Tanzania (TANESCO) kwa mara nyingine tena limeshinda tuzo ya the ”Most improved Organization” eneo la huduma kwa wateja iliyotolewa na Taasisi ya Chartered Institute of Customer Management(CICM). Tuzo hizo zimetolewa 28, Machi 2025 jijini Dar es Salaam ambapo shirika limepata tuzo hiyo baada ya kufanya maboresho ya kutumia njia za kidigitali kurahisisha … Continue reading Tanesco yashinda tuzo huduma bora kwa wateja
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed