Tanzania kuendeleza ushirikiano na UNDP

DAR ES SALAAM: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amepokea Hati za Utambulisho za mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Shigeki Komatsubara katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.
Mara baada ya kupokea nakala za hati hizo, Makamba amemhakikishia Komatsubara kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na UNDP ili kusogeza mbele agenda yake ya maendeleo na hivyo kuinua maisha ya watanzania kisiasa, kijamii na kiuchumi.
Amesema Tanzania na UNDP zimekuwa zikishirikiana kutekeleza mipango ya maendeleo kwa kuwa zina lengo la kuboresha maisha ya watu kupitia maeneo ya utawala wa demokrasia, ukuaji uchumi, maendeleo endelevu mazingira endelevu na uhimilivu wa mabadiliko ya tabia nchi.
Waziri Makamba ameongeza kuwa Tanzania inathmini na kutambua jitihada za UNDP katika kukabiliana na madhara yaliyotokana na janga la UVIKO 19
Kwa upande wake Mwakilishi wa UNDP Komatsubara ameahidi kufanya kazi kwa bidii ili kuendeleza jitihada za UNDP nchini na kuongeza kuwa atakuwa sio tu Balozi mzuri wa Tanzania bali pia atakuwa mtangaza mazuri ya Tanzania kupitia kazi zake.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
VickieMinerva
VickieMinerva
1 month ago

★ Join this most wonderful and cool online home based job and start making more than $700 every day. ( r09q) I made $24583 last month, which is incredible, and I strongly encourage you to join and begin earning money from home. Simply browse to this website now for more information.
Click and Copy Here══════►►► http://Www.SmartCareer1.com

Julia
Julia
1 month ago

Every month start earning more than $12,000 by doing very simple Online job from home. I m doing this job in my part time i have earned and received $12,429 last month. I am now a good Online earner and earns enough cash for my needs. Every person can get this Online job pop over here this site.
.
.
Detail Here—————————————————————>>> http://Www.BizWork1.Com

Lilianarkins
Lilianarkins
1 month ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 1 month ago by Lilianarkins
Back to top button
3
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x