TLS Iringa yajitosa sakata waliobomolewa nyumba Iringa

IRINGA: CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS), kupitia ofisi yake ya Kanda ya Iringa, kimeahidi kuchukua hatua baada ya kuzuka kwa madai ya kuvunjwa kwa nyumba za familia kadhaa katika eneo la Don Bosco, mjini Iringa. Ubomoaji huo unaodaiwa kufanywa na watu waliotajwa kuwa ni madalali, huku taratibu za kisheria zikidaiwa kupuuzwa. … Continue reading TLS Iringa yajitosa sakata waliobomolewa nyumba Iringa