TLS yawajengea uwezo mabaraza ya ardhi ya kata Iringa

KUTOKANA na changamoto ya baadhi ya mabaraza ya ardhi ya kata kutoa maamuzi badala ya kusuluhisha, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa kimefanya mafunzo elekezi kwa wajumbe wa mabaraza ya ardhi ya kata za Manispaa ya Iringa. Lengo la mafunzo hayo ni kuwaelimisha wajumbe kuhusu wajibu wao wa kisheria na umuhimu wa kusimamia … Continue reading TLS yawajengea uwezo mabaraza ya ardhi ya kata Iringa