TOC yawapiga msasa viongozi

DODOMA: Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa), Alfred Lucas akishiriki katika semina ya makatibu wakuu wa vyama na Mashirikisho ya Michezo nchini ilyoandaliwa na Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) jijini Dodoma Desemba 06, 2023.

Semina hiyo inayohusu uongozi, inatarajia kumalizika kesho Dodoma Hotel.

Habari Zifananazo

Back to top button