Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Uledi Mussa amesema hakuna tena vikosi kazi katika ukusanyaji mapato nchini.
–
Musa amewaambia Wahariri jijini Dar es Salaam kuwa TRA inataka watu walipe kodi bila shuruti, na wamewaagiza maofisa wakusanye kodi bila matumizi ya nguvu.


Uledi Mussa
Add a comment