TSN mdhamini bora ununuzi na ugavi

DAR ES SALAAM: MKURUGENZI Mtendaji (MD) wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Tuma Abdallah (kulia) akipokea tuzo ya udhamini katika Kongamano la 14 la Mwaka la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi kutoka kwa Kaimu Meneja wa Huduma za Habari za Mtandaoni, Sylivester Domasa.
Hafla hiyo imefanyika katika ofisi ndogo za TSN, Samora jijini Dar es salaam.
TSN, ni miongoni mwa wadhamini wa kongamano hilo. lililofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC).

Habari Zifananazo

Back to top button