TSN yaibamiza Mwananchi

TSN yaibamiza Mwananchi

TIMU ya soka ya Kampuni hyaTanzania Standard News Papers (TSN), imeifunga bao 1-0 timu ya Mwananchi katika mchezo wa bonanza uliopigwa Uwanja wa TCC Chang’ombe, Dar es Salaam.

TSN ni wachapishaji wa magazeti ya DAILY NEWS, HabariLEO na SpotiLeo, pia ina mitandao ya kijamii, pamoja na majarida maalumu ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali za serikali.

Advertisement
1 comments

Comments are closed.