Tuenzi Kiswahili, tukionee fahari

LEO ni maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani ambayo hufanyika kila Julai 7, tangu mwaka 2022 kutokana na azimio lililopitishwa na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO). Ni siku ya kipekee kwa Tanzania ambayo tangu kupigania uhuru, Kiswahili kimekuwa lugha ya umoja, utamaduni na ukombozi. Baada ya uhuru, … Continue reading Tuenzi Kiswahili, tukionee fahari