Tuisila Kisinda arejea Jangwani

Tuisila Kisinda

WINGA wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Tuisila Kisinda amerejea Jangwani, Rais wa Klabu hiyo Mhandisi Hersi Ally Said amesema kupitia ukurasa wa Yanga SC muda mchache uliopita.

Kisinda aliondoka Young Africans na kujiunga na klabu ya RS Berkane ya Morocco. Hapakua na taarifa za ziada kuhusu mkataba wake wa miaka mitatu na timu ya Botola Pro. 

Kabla ya kujiunga na timu ya Jangwani, Kisinda alikuwa akichezea timu ya AS Vita ya DRC.

Advertisement

 

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *