Tuisila Kisinda kuivaa Shooting leo

Tuisila Kisinda kuivaa Shooting leo

KIKOSI cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Ruvu Shooting leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kipo hadharani, ambapo mshambuliaji mpya aliyerejea timu hiyo kutoka RS Berkane ya Morocco, Tuisila Kisinda ataanza.

Kwa mujibu wa ukurasa rasmi wa klabu hiyo wa instagram, kikosi hicho ni Djigui Diarra, Juma Shaaban, Joyce Lomalisa, Dickson Job, Bakari Mwamnyeto, Yanick Bangala, Salum Abubakar, Farid Mussa, Fiston Mayele, Feisal Salum na Tuisila Kisinda.

Advertisement