‘Tumeweka mikakati wananchi wote watumie nishati safi’

DAR ES SALAAM; WIZARA ya Nishati imesisitiza kuwa imeweka mkakati wa kuhakikisha wananchi wote wanatumia nishati safi ya kupikia na kuachana na matumizi ya kuni na mkaa ambayo yamekuwa na madhara ya kiafya na kimazingira huku ikiwapongeza wadau wakiwemo Oryx Gas kwa kushiriki kikamilifu katika kufanikisha mkakati huo. Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam na … Continue reading ‘Tumeweka mikakati wananchi wote watumie nishati safi’