Tunahitaji jamii inayochukia rushwa- Samia

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema taifa linapaswa kuwa na jamii yenye ujasiri inayoweza kuhoji watu wanaojipatia mali zisizo na maelezo nazo.

Rais amesema hayo leo alipohutubia maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na mchakato wa ukusanyaji maoni kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mkoani Dodoma.

“Jamii inayochukia rushwa kila mahali, jamii inayoweza kujituma kufanya kazi bila kusukumwa, inayopinga uchakachuji wa mazao kama pamba na korosho kuongezwa mawe na jamii inayolaani ukwepaji wa kodi.

Advertisement

”amesema Rais Samia.

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *