Tunaunganishwa kutokea Tanzania- Infantino
“MPIRA wa Miguu unaunganisha Dunia na hapa unaunganisha kutokea Tanzania.” amesema Rais wa FIFA, Gianni Infantino.
–
Kiongozi huyo ametoa kauli hiyo muda huu alipozungumza kwenye jukwaa la wageni rasmi uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.
–
Infantino amefika uwanjani hapo kushuhudia mchezo wa ufunguzi wa African Football League dhidi ya Al-Ahly utakaoanza muda mfupi. kuanzia sasa.
–
#FIFA #Tanzania #HabariLeo #Michezo