Wananchi wa Kata ya Chamkoroma, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wakivuka daraja la Mto Mhongwa lililotengenezwa kwa waya na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mjini (Tarura). Awali eneo eneo hilo lilikuwa linaleta adha kwa wananchi hasa kunaponyesha mvua.


Add a comment