Tundaman, Meja, Whozu kukiwasha Simba Day

SIMBA imewataja wasanii, Tunda Man, Meja Kunta na Whozu kuwa watasherehesha tamasha la Simba Day litakalofanyika Agosti 6, 2023.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ametaja wasanii ha oleo na kwamba wengine watatajwa baadaye.

“Siku zinapokwenda tutaendelea kutangaza wasanii wengine ambao watakuwepo,”Ahmed Ally

“Kwa upande wa viingilio, sisi kama klabu tunahitaji fedha lakini kwenye tamasha tunahitaji zaidi mashabiki.” Ameongeza Ahmed.

Habari Zifananazo

Back to top button