Twitter iko chini

Maelfu ya watumiaji wa mtandao wa Twitter duniani kote wanakutana na changamoto ya kuona ‘tweets’ huku mtandao huo wa ukiwa chini kwa mujibu wa ripoti.

Tukio hilo limetokea hivi punde huku baadhi ya watumiaji wanaendelea kukutana changamoto hiyo ambapo wanapotaka kuona ‘tweets’ mpya wanakutana na maneno yanayosomeka “Karibu kwenye Twitter”.

Hali hiyo nakuja ikiwa huku Twitter ikiripotiwa kuwaachisha kazi wafanyikazi 200 siku ya Jumatatu. Hata hivyo huduma hiyo imeanza kurejea kwa baadhi ya watumiaji.

Habari Zifananazo

Back to top button