UDSM watengeneza mikate, biskuti za senene

IDARA ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), imeongeza thamani ya mdudu aina ya senene kwa kutengeneza bidhaa mbalimbali ikiwemo mkate na biskutit kwa kuweka unga wa mdudu huyo.

Mkufunzi Msaidizi kutoka UDSM, Crispin Dionice amesema hayo alipozungumza na HabariLEO kuhusu idara hiyo kuongezea thamani ya mazao ya kilimo ikiwa ni pamoja na vyakula vyenye protini.

Amesema wameongezea thamani senene kwa kutengeneza bidhaa mbalimbali kwa sababu watu hushindwa kumla mdudu huyo lakini kupitia bidhaa kama mkate ama biscuit huweza kula kwa kuwa hawamwoni.

“Yote haya tunayafanya kwa sababu tunatamani hivi virutubisho vilivyopo kwenye senene vifikie kila mmoja, anaweza akala chakula chochote ambacho kimechanganywa na unga wa senene.

“Senene ni mdudu ambaye ana protini kwa wingi, ana mafuta yenye afya tunasema mafuta omega 3 , omega 6 fats acid, mafuta haya ni mazuri kwa ajili ya afya ya moyo, lakini pia ni mazuri kwa ajili ya kujenga afya bora ya ubongo kwa mtoto hata kwa mtu mzima kuweza kuweka sawa kumbukumbu.

“Lakini pia mdudu huyu anayo madini mbalimbali ikiwa pamoja na madini chuma, zink , vitamin b12,” amesema.

Amesema watu wanapata changamoto kumla mdudu huyo ndio maana wakaona watengeneze bidhaa mbalimbali ziweze kuwafikia wengi.

Amesema baada ya kumchakata senene na kupata mafuta, makapi yake huyasaga na kuweza kuchanganywa kwenye bidhaa mbalimbali.

Alisema lengo la kufanya hayo yote ni kuongeza thamani ya mdudu huyo ikiwa ni pamoja na kupunguza tatizo la utapiamlo hapa nchini.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
7 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
tasob
1 month ago

My last month paycheck was for 11000 dollars… All i did was simple online work from comfort at home for 3-4 hours/day that I got from this agency I discovered over the internet and they paid me for it 95 bucks every hour…..>
 
.
.
Detail Here——————————>>> https://www.pay.salary49.com

MauraLilibet
MauraLilibet
1 month ago

I’m making $90 an hour working from home. i was greatly surprised at the same time as my neighbour advised me she changed into averaging $100 however I see the way it works now. 26 I experience mass freedom now that I’m my non-public boss. Everybody must try this job now by just.
visit this article————>> http://www.SmartCash1.com

Last edited 1 month ago by MauraLilibet
ShannaDonnell
ShannaDonnell
1 month ago

Single Mom With 4 Kids Lost Her Job But Was Able To Stay On Top By Banking Continuously DOLLER 1500 Per Week With An Online Work She Found Over The Internet… 

Check The Details HERE…..  https://webonline76.blogspot.com/

Last edited 1 month ago by ShannaDonnell
EvelynDeni
EvelynDeni
1 month ago

Earn income while simply working online. work from home whenever you want. just for maximum 5 hours a day you can make more than $600 per day online. From this I made $18,000 last month in my spare time.
.
.
Detail Here===============================>>>  http://Www.OnlineCash1.Com

Chukua kifo hichooo
Chukua kifo hichooo
1 month ago

Ugonjwa mpya waibuka Tanzania unaitwa BABA WA TAIFA

DALILI ZAKE
·               KUFIKIRIA MTU 24 HRS
·               KUFIKIRIA SIFA 24 HRS
·               KUFIKIRIA KUREKEBISHA KITU 24 HRS
·               KUFIKIRIA MAENDELEO 24 HRS
·               KUFIKIRIA MAENDELEO YA WENGI 24 HRS
·               KUFIKIRIA MTOTO WAKO 24 HRS
·               KUFIKIRIA UKO SAHIHI 24 HRS

LIKE BACK HINDIA IDEOLOGY

Mapinduzi.JPG
Chukua kifo hichooo
Chukua kifo hichooo
1 month ago

2003 St. Francis Girls Secondary School students result overview

job done.JPG
Chukua kifo hichooo
Chukua kifo hichooo
1 month ago

2003 Sangu Secondary School Centre students result overview

job doneee.JPG
Back to top button
7
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x