Ujenzi wodi za VIP Muhimbili umesimama -CAG

DODOMA — Mradi wa ujenzi wa wodi za watu mashuhuri na binafsi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, wenye thamani ya Sh bilioni 1.36, umesitishwa rasmi tangu Desemba 2023 kutokana na ukosefu wa fedha. Mradi huo ulipaswa kukamilika ndani ya miezi sita lakini ulisimama kabla ya kukamilika, huku Hospitali ikisitisha mkataba wa mkandarasi Februari 2024. Ripoti … Continue reading Ujenzi wodi za VIP Muhimbili umesimama -CAG