Ulega aagiza uchunguzi watendaji BRT4

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza kupelekewa taarifa kamili za wasimamizi na mshauri mwelekezi wa ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) Awamu ya Nne baada ya kushuhudia uzembe unaosababisha usumbufu zaidi barabarani kinyume na malengo ya mradi huo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya ukaguzi wa … Continue reading Ulega aagiza uchunguzi watendaji BRT4