Ulega aanika Samia anavyopiga kazi Ujenzi

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo – Saadani hadi Pangani, ni pamoja na Daraja la Mto Pangani, ni miongoni mwa kazi zinazoendelea kutekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita. Ulega ameeleza kuwa ujenzi wa Daraja la Mto Pangani utahusisha kufunga taa 240 ili kuboresha miundombinu yake. Pia mji wa Pangani … Continue reading Ulega aanika Samia anavyopiga kazi Ujenzi