Unai atia ugumu Douglas kutua Arsenal

DOUGLAS Luis ni miongoni mwa viungo wanaowindwa na Arsenal, lakini Aston Villa inaonekana haitaki kumuuza Mbrazil huyo.

Kocha wa Aston Villa amesema kiungo huyo yupo katika mipango yake, hivyo hafikirii kuachana naye.

Unai Emery: “Douglas anacheza vizuri sana, uwajibikaji wake unashangaza, namuhitaji hapa”

“Nina furaha kuwa naye nataka abaki Villa, bila shaka yeye pia anafuraha kuwa nasi.” ameongeza Unai.

Habari Zifananazo

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button