UTAFITI: Vifo kuongezeka magonjwa ya moyo

UGONJWA wa moyo umeelezwa kushika nafasi ya tatu katika magonjwa yanayochangia vifo vingi nchini huku takwimu zikionesha kuwa siku za mbeleni vifo vitaongezeka kutokana na tatizo hilo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dk Peter Kisenge amesema hayo leo Dar es Salaam katika siku ya kwanza ya kambi ya kupima wananchi magonjwa ya moyo pamoja na magonjwa yasiyo ya kuambukiza inayofanyika katika hospitali ya Dar Group Dar es Salaam.

Dk Kisenge amesema ukiacha ugonjwa wa Malaria na Ukimwi, wagonjwa wa moyo umekuwa wakiongezeka na duniani kote magonjwa ya moyo yanaongoza ambapo watu milioni 17 hufa kila mwaka kwa tatizo hilo.

Amesema hivyo ni vyema wananchi kujitokeza kupima afya zao mapema ili kuzuia tatizo hilo kwa kuwa iwapo mgonjwa akijitokeza kupima afya yake inapunguza gharama kubwa za matibabu ya moyo kwa kuwa kubadilisha valvu za moyo hugharimu sh milioni 10-12.

Kuhusu kambi ya upimaji iliyoanza leo na kesho, amesema tayari wamepima wananchi zaidi ya 70 na lengo ni kufikia watu 500, wakiwemo wale wasiokuwa na uwezo na hata wasiokuwa na bima za afya, ili kupata huduma hiyo.

” Nia ni kufikisha huduma kwa wananchi walipo, kwa sasa tunapima moyo kwa wakazi wa Dar es Salaama hususani waishio maeneo ya karibu na hospitali ambao ni wa Temeke lakini pia tunapima magonjwa mengine kama kisukari na shinikizo la damu,” amesema Dk Kisenge na kuwataka wananchi kujitokeza kupata huduma.

Kuhusu huduma hiyo kwa mikoa mingine amesema tayari wameshazunguka katika mikoa zaidi ya 11 n akuwaona wagonjwa zaidi ya 7000 na kote walikopita ugonjwa wa Shinikizo la damu unaongoza kwa asilimia 25 na kuhimiza wananchi wakjitokeze kupima kutokana na mtindo wao wa maisha.

Kwa upande wake mgonjwa aliyepatiwa huduma hiyo, Seleman Athman amesema aliposikia tangazo la huduma ya upimaji wa moyo kutolewa hospitalini hapo, alikuwa tayari kwa kuwa uwezo na gharama za matibabu hayo ni kubwa.

Ameshauri kutokana na umuhimu wa huduma hiyo, ipo haja ya matangazo kutolewa kwa kina kwa kuwa ni wengi wenye shida na wasiokuwa na uwezo wa kufikia gharama zinazotakiwa kwa hali ya kawaida.

Mkazi mwingine, Birigita Boaz, amesema aliona tangazo na kujitokeza kupima kwa kuwa ulaji ni mbovu wenye chakula kingi cha mafuta na kutokufanya mazoezi.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
7 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
JoannMiranda
JoannMiranda
18 days ago

Join this most wonderful and cool online home based job and start making more than $700 every day. 6w7 I made $24583 last month, which is incredible, and I strongly encourage you to join and begin earning money from home. Simply browse to this website now for more information.
For Details======>> http://www.SmartCareer1.com

HelenLeath
HelenLeath
18 days ago

Single Mom With 4 Kids Lost Her Job But Was Able To Stay On Top By Banking Continuously DOLLER 1500 Per Week With An Online Work She Found Over The Internet… 

Check The Details HERE…..  https://earncash82.blogspot.com/

Last edited 18 days ago by HelenLeath
Julia
Julia
18 days ago

My last pay test was ,500 operating 12 hours per week online. My buddy has been averaging 15,000 for months now and she works approximately 20 hours every week. I can not accept as true with how easy it become as soon as i tried it out.
.
.
Detail Here————————————————————>>>  http://Www.BizWork1.Com

yafine
18 days ago

My last month paycheck was for 11000 dollars… All i did was simple online work from comfort at home for 3-4 hours/day that I got from this agency I discovered over the internet and they paid me for it 95 bucks every hour…..> 
.
.
Detail Here——————————>>>
 https://www.pay.salary49.com

kaxil
17 days ago

My last month paycheck was for 11000 dollars… All i did was simple online work from comfort at home for 3-4 hours/day that I got from this agency I discovered over the internet and they paid me for it 95 bucks every hour…..> 
.
.
Detail Here——————————>>>
https://www.pay.salary49.com

Tibirizi Chakechake Pemba
Tibirizi Chakechake Pemba
16 days ago

Job Application

OIP.jpeg
Tibirizi Chakechake Pemba
Tibirizi Chakechake Pemba
16 days ago

Job Applications

R.jpeg
Back to top button
7
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x