Utamaduni wa galauka

BAADHI ya akina Mama wa Ruangwa mkoani Lindi, wakilala chini ikiwa ni utamaduni wao maarufu kwa jina la Galauka ikiwa ni ishara ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Madini, Dk Stephen Kiruswa katika ufunguzi wa maonesho ya madini yanayofanyika Ruangwa, Lindi.

7 comments

Comments are closed.