Vijana kukutana kukuza utalii nchini

ASASI ya Vijana wa Umoja wa Mataifa Tanzania (YUNA) wanatarajia kuadhimisha siku ya utalii duniani kwa kufanya kongamano la kuwakutanisha vijana katika kukuza utalii endelevu na uhifadhi wa urithi wa kitamaduni.
Akizungumza na waandishi wa habari, mratibu wa tamasha hilo, Greyson Clement alisema kila mwaka 27 Septemba ni siku ya utalii duniani ambapo wao wameamua kujikita katika kuhifadhi utamaduni na matumizi ya teknolojia.
Alisema washiriki katika kongamano ni vijana kati ya umri wa miaka 15 hadi 35 ambapo watakutana katika ukumbi wa Makumbusho ya taifa mkoani Dar es Salaam kwa ajili ya mdahalo na maonesho ya utamani.
“Malengo ya mkutano huu ni kuongeza uelewa wa vijana kuhusu umuhimu wa kuhifadhi urithi wa utamaduni endelevu lakini pia tutajadili na changamoto” alisema
Mjumbe wa kamati kuu ya YUNA Irene Kijangwa, aliomba kuungwa mkono kwa shirika hilo ambalo la vijana wanaoshirikiana kukuza maadili na utamaduni.
WIZARA YA NDOTO
HOTUBA YA WIZARA YA NDOTO
ULIMWENGU WA NDOTO
One. DEREVA BODABODA ANA NDOTO YA KUMILIKI KAMPUNI YA NDEGE
Two. MUUZA MBOGAMBOGA ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA MBOGA MBOGA
Three. MUUZA VITUNGUU SUMU ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA VITUNGUU SUMU
Four. MUUZA NYANYA ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA NYANYA
Five. MUUZA MAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA NDEGE
Six. MUUZA BAR ANA NDOTO YA KUMILIKI KUJENGA BAR
Seven. MUUZA FREMU ANA NDOTO YA KUMILIKI SHOPPING MALLS
Eight. MGANGA WA KIENYEJI ANA NDOTO YA KUMILIKI HOSPITALI
Nine. MPIGA DEBE ANA NDOTO ZA KUMILIKI KAMPUNI YA MABASI
Ten. MAMA NTILIE ANA NDOTO YA KUMILIKI HOTELS
Eleven. MCHEKESHAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KITUO CHA TELEVISION
Twelve. MTANGAZAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KITUO CHA TELEVISION
Upo sahihi “tukasomeeeeeee tueleweeeeeee Saaaana
Fursa BABA YETU ULIE MBINGUNI NA BWANA YESU ASIFIWE – IMPORT WATU FROM US TO TZ……..
UKIKUTANA NA MZUNGU AKUPE BRIEFCASE YA HELA UTEKELEZE VYOTE MWENYEWE
file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image002.jpg