Vini aumia tena

MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Vinicius Junior ameondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Brazil kutokana na jeraha la misuli.

Nyota huyo amerejea Madrid usiku wa jana kwa ajili ya kufanyiwa tathmini zaidi.

Hata hivyo taarifa zinaeleza kwamba jeraha hili sio kubwa, huku zikisubiliwa taarifa rasmi za klabu za muda gani atakuwa nje ya uwanja.

Habari Zifananazo

Back to top button