Vinicius Junior aongeza mkataba Madrid

MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Vinicius Junior amesaini mkataba mpya wa miaka minne utakaomuweka klabuni hapo hadi mwaka 2027. Real Madrid wamethibitisha.

Mkataba hup umewekwa kipengele cha ‘realese clause’ ya Euro bilioni 1 ambayo pia itawekwa kwenye mkataba mpya wa kiungo, Ferde Valverde, Camavinga na Rodrigo ambao wanatarajiwa kuongeza mkataba.

‘Realese clause’ au ‘Buyout clause’ Kifungu cha kuachilia ada iliyowekwa ambayo klabu nunuzi inaweza kuilipa klabu inayouza ili kuilazimisha kimkataba kumshusha mchezaji au kocha.

Habari Zifananazo

Back to top button