Viongozi mbalimbali msibani kwa Membe

VIONGOZI mbalimbali wa serikali, vyama vya siasa na viongozi wastaafu leo wamefika nyumbani kwa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, marehemu Bernard Membe, Mikocheni, Dar es Salaam kuungana na waombolezaji wengine kwenye msiba huo.

Miongoni mwa viongozi waliokuwepo asubuhi hii ni Majaji Wakuu wastaafu, Barnabas Samatta na Othman Chande, ambapo pia alikuwepo Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.

Habari Zifananazo

Back to top button