MWENYEKITI Wa TCD na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, akizungumza katika ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa vyama vya siasa vya burundi na Tanzania uliofanyika Zanzibar leo Februari 28, 2023.
Mkutano huo umeandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania ( TCD) na utajadili umuhimu wa majadiliano baina ya vyama vya siasa.