RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na viongozi wa dini Ikulu ndogo mkoani Mwanza.
Awali kabla ya mazungumzo hayo, viongozi hao wa dini wamemuombea dua ya kheri katika kuliongoza Taifa muda mchache kabla ya kwenda kuhudhuria Tamasha la Utamaduni Bulabo mkoani humo leo Juni 13, 2023