Viongozi watakiwa kutumia sensa kupanga maendeleo

VIONGOZI wa Mkoa wa Kilimanjaro wamehimizwa kutumia matokeo ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 kupanga mipango mbalimbali ya maendeleo kwenye Jamii.

Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni alipomwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu wakati wa ufunguzi wa semina ya usambazaji na uhamasishaji wa matumizi ya Matokeo ya Sensa kwa viongozi, watendaji na wadau wa mkoa huo.

Amesema mipango ya maendeleo izingatie matokeo ya sensa na mwenendo wa kasi ya ongezeko la idadi ya watu katika Mkoa wa Kilimanjaro hasa katika utoaji wa huduma mbalimbali za kijamii ikiwemo elimu, afya, maji na miundombinu.

Katibu Tawala wa Mkoa huo ,Tixon Nzunda amesema atasimamia mipango yote ya Mkoa na Bajeti inayokwenda kupangwa kwa mwaka wa Fedha ujao itazingatia takwimu halisi za Sensa katika maeneo ya Halmashauri kwa kuzingatia mipango ya fursa na maendeleo ya Wananchi.

Aidha, Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk Albina Chuwa amesema kuwa Serikali imewekeza katika sekta ya Afya hali inayopelekea Mtanzania anayezaliwa sasa umri wake wa kuishi hapa Duniani kuwa ni miaka 65 huku Mwananchi wa mkoa wa Kilimanjaro umri wake wa kuishi ukiwa ni miaka 63.

Amesema kuwa, kwa mujibu wa sensa ya mwaka 1978 ilionyesha umri wa kuishi kwa Mtanzania ni miaka 44 ambapo hii yote imechangiwa na kiasi kikubwa na uwekezaji unaofanyika na Serikali ya awamu ya sita katika sekta ya afya.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
VirginiacGehee
VirginiacGehee
1 month ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 1 month ago by VirginiacGehee
MadelineEmma
MadelineEmma
1 month ago

★ Join this most wonderful and cool online home based job and start making more than $700 every day. I made $24583 last month, (e 55q) which is incredible, and I strongly encourage you to join and begin earning money from home. Simply browse to this website now for more information.
Click and Copy Here═══►►► http://Www.SmartCareer1.com

favem
1 month ago

My last paycheck was 11000 dollars .I simply work daily from home 3-4 hours and earn 95 bucks for every hours detail on Here….>
https://www.pay.salary49.com

money
money
1 month ago

WAZEE WA KULA JICHO HUWA MNATUMIA MBOOO SIZE GANI KUINGIZA KWENYE JICHO

file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image002.jpg

Capture.JPG
Back to top button
4
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x