Vipaumbe usafiri, usafirishaji Ilani ya CCM 2025-2030

DODOMA: ILANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) 2025 iliyozindiliwa leo jijini Dodoma katika ukurasa wake wa 41, 42, 43, na 44 imetaja mkakati wa kuendelea kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji nchini. Mipango iliyopo ni kuunganisha kwa kiwango cha lami barabara za makao makuu ya mikoa na wilaya. Kuhakikisha kuwa barabara zote za vijijini zinakarabatiwa … Continue reading Vipaumbe usafiri, usafirishaji Ilani ya CCM 2025-2030