Vodacom Tanzania yazindua huduma za 5G

Vodacom Tanzania 5G

KAMPUNI ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imezindua huduma za 5G ikitaja kuwa ni mapinduzi ya kwanza kufanyika nchini na yatasaidia kuongeza chachu ya uchumi wa kidigiti.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom, Hilda Bujiku amesema wakati wa halfa ya uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye.

Advertisement
2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *