Waandishi wa habari kusajiliwa kidigitali

PWANI: SERIKALI itazindua mfumo mpya utakaowaandikisha waandishi wa habari kwa njia ya kidijitali ambapo mfumo huo utaboresha usajili wao sambamba na kuendana na mabadiliko ya kiteknolojia katika sekta ya habari. Msigwa ametoa taarifa hiyo leo Machi 16, 2025 akiwa katika Bandari Kavu ya Kwala, mkoani Pwani ambapo amesema uzinduzi wa mfumo huo utafanyika mwisho wa … Continue reading Waandishi wa habari kusajiliwa kidigitali