Wabunge 35 wafanya ziara Bandari ya India

WABUNGE  35 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametembelea  Makao makuu ya kampuni ya Adani Ports and Special Economic Zone Limited  (APSEZ) mjini Ahmedabad, Jimbo la Gujarat nchini India.

Wabunge hao wakiongozwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa  wapo katika ziara ya mafunzo nchini humo, kujifunza kuhusu ushirikishwaji wa sekta binafsi katika uwekezaji, usimamizi na uendelezaji kwenye shughuli za bandari kutoka APSEZ, ambayo ni kampuni kubwa iliyowekeza Katika Bandari 13 ndani na nje ya India.

 

Habari Zifananazo

Back to top button