Wadau wa habari bungeni leo

MKURUGENZI wa Wasafi Media, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwasili katika viwanja vya Bunge leo Mei 19, 2023 kuhudhuria kikao cha Bunge, ambapo Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2023/24.

 

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alivyowasili katika viwanja vya Bunge, Dodoma ambapo anatarajiwa kuwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2023/24.

Habari Zifananazo

Back to top button