Wahofiwa kufa baada ya kituo cha mafuta kuwaka moto

WATU kadhaa wanahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa kufuatia mlipuko uliotokea katika kituo cha mafuta mji mkuu wa Conakry nchini Guinea leo.

Taarifa iliyochapishwa katika tovuti ya habari Le Courrier De Conakry imefafanua kuwa idadi ya waliofariki ni wanne na waliojeruhiwa ni 100.

Polisi nchini humo wanaendelea na uchunguzi kufahamu idadi kamili ya waliopoteza maisha na kujeruhiwa.

Habari Zifananazo

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button