Wakili Madeleka autaka ubunge Kivule
DAR ES SALAAM: MWANACHAMA wa ACT Wazalendo, Wakili Peter Madeleka, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kugombea ubunge wa Jimbo la Kivule, Dar es Salaam leo. Hafla ya kuchukua fomu hiyo imefanyika katika ofisi za chama hicho na kuhudhuriwa na wanachama pia viongozi mbalimbali wa chama ngazi ya jimbo. Fomu hiyo imekabidhiwa kwa … Continue reading Wakili Madeleka autaka ubunge Kivule
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed