Walcott astaafu soka

MSHAMBULIAJI wa England, Theo Walcott ametangaza kustaafu soka akiwa na miaka 34.

Walcott alianza kucheza Southampton mwaka 2005, mwaka 2006 alijiunga na Arsenal, mwaka 2018 alijiunga na Everton, 2021 akarejea Southampton.

Amecheza michezo 563 na kufunga mabao 129 kwa ngazi ya klabu na michezo 47 na kufunga mabao manane akiwa na England.

Habari Zifananazo

Back to top button